BSc Bioprocess and Postharvest Engineering

engmiddo

New Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
4
Reaction score
2
Short history ya hii degree program n kwamba imeanzishwa hapa Tanzania katika chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine mwaka wa masomo 2 010/2011. TCU iliwaselect wanafunzi wapatao 25 kujiunga pale SUA katika degree program hii ambayi ni ya miaka minne kama zilivyo engineering program zingne, ila badluck n kwamba kutoka wanafunzi 25 Wakagraduate wanafunzi wawil tuu mwaka 2014 kama Bioprocess Enginears ambao ni product ya kwanza kutoka Tanzania kwani mabioprocess engineers wachache waliopo Tanzania ni wale waliosoma nchi zingne za Afrika au Ulaya.

Mwaka uliofuata yaani mwaka huu 2015 pia wamegraduate watatu xo mpaka now kuna bioprocess enginears watano tuu ambao nao huwa wanapata opportunity pindi wamalizapo tuu... Pia wanafunzi wengi huwa wanaishia either kudisco na pia sababu nyingne kama vile kuacha chuo baada ya kuomba kubadili coz na kusoma nyingne kushindikana coz uongozi huwa hauruhusu kabisa watu kuhama coz hii lkn wale wavumilivu huendelea na hufika mwisho wa safar vyema.

Uhitaj wa wanafunzi wengi kuhama ni pale wanapokutana na biology ambayo ni deep kabisa huku wao ni PCM students pia coz hii inahitaj usome coz za chemistry, physics, mathematics, na biology tofauti na engineering zingne. Pia kitu kinachowasumbua weng ni kutaka kuhama huku wengi wakisema hawawezi biology huku coz ikihitaj wanafunzi wa PCM tu kutokana na professional yenyewe ilivyo..

Degree program hii ukiacha SUA inapatikana hapa Afrika huko South Afrika pia Awasa University huko Ethiopia, zaidi ya hapo ukasome ulaya.

Hivyo basi nichukue fursa hii kuwakaribisha wote waliochaguliwa kujiunga pale SUA kwa degree program hii kikubwa hasa ni ushirikiano tu then mambo yataenda. Usitishike na maneno ya watu, hata kama ni ngumu kumbuka hakuna engineering rahisi na pia kama unataka vitu laini lazma upitie vigumu, this year mwaka wa nne wapo 29 na mwaka wa Tatu wapo 40..

Karibuni sana Sokoine University of Agriculture, department of agriculture engineering and land plan ambapo ndugu zako watakua Irrigation and water resource engineers na agriculture enginears...

Pale SUA engineers sifa yao kubwa ni ushirikiano ambao ndio chachu ya mafanikio yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…