T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 4,004 Reaction score 5,969 Feb 20, 2026 #1 Wakuu, natumaini hamjambo. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, nina hiyo router ya CPE 5s; ila tatizo inatumia tu laini moja. Je, kuna mtu anaweza unlock ili iweze kusoma laini tofauti?
Wakuu, natumaini hamjambo. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, nina hiyo router ya CPE 5s; ila tatizo inatumia tu laini moja. Je, kuna mtu anaweza unlock ili iweze kusoma laini tofauti?