Brothers ICT solutions
New Member
- Jan 6, 2017
- 2
- 1
Karibu mkuu tumalize tatizo lako tucheki kwenye hizo namba hapo juu.Nna cm ya blackberry z10 haipand mnara
nataka huduma ya CCTV installation nyumbani kwanguNna cm ya blackberry z10 haipand mnara
Wasiliana nao kwenye hizo namba haponataka huduma ya CCTV installation nyumbani kwangu
Brothers ICT solutions tunatoa huduma zifuatazo, Kuweka Windows ( 7 ) (8) (8.1) (10). Mac OS, na Ubuntu. Tunarudisha data zilizopotea au kufutwa kwenye pc, Flash, au External Hard drive. Tunatoa ufumbuzi wa matatizo mengine kama vile Betri mbovu, computer kuwa slow, Kubadili kioo cha laptop, Kompyuta kutokuwaka na mengineyo.
Tunaweka software mbalimbali kama vile Adobe photoshops, adobe illustrator, adobe indesign, adobe After effects, Tally, Archcard, Autocard, Ashampoo burner, Nero Burner, Cinema 4D, FL studio, Virtual DJ, IDM, na nyingine nyingi zote hizi ni version mpya.
Tunaweka Antivirus kwa usalama wa computer yako dhidi ya virus wasumbufu
Tunafunga Network system( Wireless) yako mwenyewe nyumbani ambayo familia nzima au wageni wanaweza kujiunga na kupata internet wakiwa eneo la nyumbani ( Vyumbani,barazani, nje n.k) Tunatoa pia huduma ya kufunga Security system kama vile Camera system, CCTV, Alarm system n.k kuhakikisha nyumba yako inakuwa na ulinzi wa kutosha.
Tunatoa huduma ya Website Designing and development . Tunakutengenezea website nzuri kwa ajili ya kampuni au biashara yako. Tunatengeneza pia Blog kwa wale wanaohitaji.
Tunatengeneza Simu ( Smartphone) aina zote, Flashing, unlocking, charger system,Speakers, kubadili kioo N.K
Tunatoa pia huduma za Graphics gesign kama vile ( Logo design, Book cover design, Business Cards, Academic Certificates, Company profile, Branding, Brochures, Flyers na Event cards)
*** Utaletewa huduma popote ulipo ndani ya Dar-es-salaam iwe Nyumbani au Ofisini.***
Mawasiliano
0719 682352, 0788 274330
mimi nina kompyuta yangu inashida ya graphic cardBrothers ICT solutions tunatoa huduma zifuatazo, Kuweka Windows ( 7 ) (8) (8.1) (10). Mac OS, na Ubuntu. Tunarudisha data zilizopotea au kufutwa kwenye pc, Flash, au External Hard drive. Tunatoa ufumbuzi wa matatizo mengine kama vile Betri mbovu, computer kuwa slow, Kubadili kioo cha laptop, Kompyuta kutokuwaka na mengineyo.
Tunaweka software mbalimbali kama vile Adobe photoshops, adobe illustrator, adobe indesign, adobe After effects, Tally, Archcard, Autocard, Ashampoo burner, Nero Burner, Cinema 4D, FL studio, Virtual DJ, IDM, na nyingine nyingi zote hizi ni version mpya.
Tunaweka Antivirus kwa usalama wa computer yako dhidi ya virus wasumbufu
Tunafunga Network system( Wireless) yako mwenyewe nyumbani ambayo familia nzima au wageni wanaweza kujiunga na kupata internet wakiwa eneo la nyumbani ( Vyumbani,barazani, nje n.k) Tunatoa pia huduma ya kufunga Security system kama vile Camera system, CCTV, Alarm system n.k kuhakikisha nyumba yako inakuwa na ulinzi wa kutosha.
Tunatoa huduma ya Website Designing and development . Tunakutengenezea website nzuri kwa ajili ya kampuni au biashara yako. Tunatengeneza pia Blog kwa wale wanaohitaji.
Tunatengeneza Simu ( Smartphone) aina zote, Flashing, unlocking, charger system,Speakers, kubadili kioo N.K
Tunatoa pia huduma za Graphics gesign kama vile ( Logo design, Book cover design, Business Cards, Academic Certificates, Company profile, Branding, Brochures, Flyers na Event cards)
* Utaletewa huduma popote ulipo ndani ya Dar-es-salaam iwe Nyumbani au Ofisini.*
Mawasiliano
0719 682352, 0788 274330
iPhone 5 hadi leo mkuu? Tupa bana hio simuNina iPhone 5 yangu inatatizo ili je mnaweza tatua? Kwa bei gani?