Hilo ni funzo zuri sana kwa sis wazazi ambao tunadhani kumdekeza mtoto ndio kumlea kwa mapenzi,unaweza ukawa unampa mwanao kila kitu kwasababu u mzima siku limetokea la kutokea hakuna mtu anayekubali kukaa na mwanao,na unampa mwanao wakati mgumu sana kujifunza maisha tofauti na uliyomkuza,