Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
namshauri akomae huko huko tu
nadhani Austria mkwanja upo na kila kitu kipo sasa anataka arud tena huku madongo kuinama kufanyaje? ntamuona wa ajabu sana akirudi kuchezea Taifa stars ya kuunga unga
Uko sahihi mkuu asidanganyike kabisa tena akae mbali na wabongo ni wanafiki sanaYaani akirudi hapa atashangiliwa siku moja, baada ya hapo yatafuata majungu fitina, mwishowe atakufa maskini.
Lema usidanganyike huku ni nusu ya KUZIMU NA WATANZANIA WENGI WAO NI MASHETANI
Atakuwa na upungufu wa akili kama atakuja kucheza kwenye timu ya taifa hovyo kama hii yetu.Mleta mada hajasema aje kuchezea klabu za Tz bali TFF wamfuate aje kuchezea National team, tusipoteze mchezaji potencial kama huyo. Ni vigumu kupata mchezaji kama huyo.
Aungane na Samata kwenye N Team.
Huyu TD wa TFF afanye hiyo kazi!!
Nikikumbuka ya Nchimbi kufunga goals 3 dhidi ya Yanga then kesho yake kaitwa Timu ya Taifa na kupewa jezi namba kumi!!!,Lema usithubutuuu
Acha abaki huko huko kama yule wa Denmark, huku michosho tu[emoji1614]Uliangalia Mechi ya England U 20 Vs Austria ? ...Basi kama Ulibahatika Kuitazama Hiyo Mechi Ambayo Hudson Odoi Pamoja na Eddie Nketia Waliichakaza Austria Nadhani Ulipata Kuliskia Jina la Michael Lema
[emoji1614]Lema Alizaliwa Tarehe 13/12/1999 Mkoani Singida..Itigi..ni Mtanzania Halisi Kabisa Ila Anawafaidisha Wazungu Kwa Sasa ...Lema Anacheza SturmGruz katika Ligi Kuu ya Huko Austria 'Bundesliga" Ni Attacking Midfielder Ambaye Sijamshuhudia Hapa Nyumbani Kwetu Kwa Miaka Mingi sasa Licha Ya Umri wake Mdogo Lemar ni Mashine ya Kazi haswaa .....Walioangalia Mechi Wanaelewa nini Namaanisha
[emoji1614]Lema Kachezea Timu za Taifa Za Austria Kwa Ngazi Zote Sasa na Kabakiza Timu ya Wakubwa tu ...Na Akichezea Timu Kubwa ndo basi tena Tumsahau kama ni mchezaj wetu
TFF hawajachelewa Kumrudisha Mtu wetu Nyumbani Maana hata yeye Anatamani Sana Ila Haoni Anayemvuta Kuja Kulitumikia Taifa lake Ndiyo maana anachezea Timu za Wazungu Sasa
[emoji1614]Katika Mahojiano yake Yote nliyobahatika Kuyaskia Lema hafichi Mahaba yake kwaTZView attachment 1235398
Si ndiyo hapo sasa,upuuzi wa bongo huku utampotezea kipaji chakeArudi huku nyuma afuate nini? Hebu mwacheni kijana apambanie maisha yake huko huko mbele!
Lema nisalimie marafiki zako wote hapo mtaa wa sudrsvtrdvngdk, pia nisalimie rafiki yangu schwezer Mackintosh
Hata national team yetu imekaa kimajungu,fitina na umbea, acha acheze huko huko,Tz aje na passport tuMleta mada hajasema aje kuchezea klabu za Tz bali TFF wamfuate aje kuchezea National team, tusipoteze mchezaji potencial kama huyo. Ni vigumu kupata mchezaji kama huyo.
Aungane na Samata kwenye N Team.
Huyu TD wa TFF afanye hiyo kazi!!