Bring back our girls- Mbuta

huyu dada jamani kwanini anatuaibisha hivyo
 
huyu dada jamani kwanini anatuaibisha hivyo

Anajitia aibu mwenyewe tu huyu. Lakini kwa kweli hayuko sawa "upstairs". Mara nimebakwa na Lema, mara ooh mi mzuri ingawa sijawahi ona polygon kama hili popote. Sijui huko majuu anafanya nini sijui ni stress za kukosa kazi? mrudisheni nyumbani tumpeleke mirembe haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…