Wakuu msaada hapo ,je DRIVER PACK Itasaidia hapo?
Na kama itasaidia basi nijuzeni jinsi ya ku2mia hii driver Pack kama unayo katika format ya ISO IMAGE,hapa naamanisha bila ku-burn kenye cd
Mwisho kabisa kama una njia tofauti na hiyo waweza tumia ,laptop ni toshiba