Brigedia Jenerali Balele Azikwa Rasmi

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,773
Reaction score
21,882
Kupitia ukurasa wake wa instagram, mkuu wa mkoa wa Simiyu Ndg. Antony Mtaka ameandika "Tumehitimisha Safari ya Mpendwa Kiongozi wetu Brigedia Jenerali Dr.Yohana Balele aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga- aliyezikwa Makaburi ya Nyumbani Kwao Bariadi".

Aidha ameongeza kuwa "Kwa Kutambua Mchango wake katika elimu ndani ya wilaya ya Bariadi enzi akiwa Mkuu Wa Mkoa-Uongozi wa Mkoa wa Simiyu Tumeipa Jina - Shule ya Sekondari Majaida, ambayo sasa itatambulika rasmi kama "Dr.Yohana Balele Sekondari"na Barabara Moja ya Mtaa wa Bariadi Mjini rasmi itatambulika kama "Barabara ya Brig.Gen. Dr.Balele".Nawashukuru viongozi wenzangu wa Halmashauri ya Bariadi Mji kuridhia na kukubali.Nawapongeza wananchi na viongozi wote walioacha shughuli zao na kuamua kuja Kumsindikiza Mpendwa wetu kwenye safari yake ya Mwisho.-R.I.P- Mwana Mwema wa Taifa letu."




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…