After they establish their own bank will they (BRICS) abandon the membership in IMF and WB?
Very likely, coz they are forming something to defeat the Washington Consesor. So they can't be the part of their adversary.
Nchi za magharibi hasa Marekani ziliendelea kwa kasi kubwa kutokana na kushikilia haya mashirika ya fedha (IMF na WB). Nakwakuwa wao ndiyo wanaochapisha dola (ambazo hazina thamani halisi), waliweza kuwa na ushawishi mkubwa sana duniani (mfano kupanga bei ya mafuta, kuweka viongozi waliowataka, kama shah wa Iran), na hivyo kurubuni nchi nyingi masikini kujiingiza katika madeni yasiyolipika. Sasa kama hawa jamaa wa BRICS wakiamua kutumia fedha yao mpya katika huduma zao za benki Marekani itaumia sana.
Ukombozi umefika....... maana sasa sisi nchi zinazoendelea hatutalazimika kukopa kwao...... tunachagua tu pa kwenda kukopa kulingana na unafuu wa masharti....
The world's leading emerging economies have reached a deal to create a development bank that will rival Western-backed institutions such as the International Monetary Fund and World Bank.
for more: BRICS reach deal on development bank to rival IMF - Telegraph
My take:
The interests of the West to Africa and the world at large is at stake...
Siku zote ushindani si kitu kizuri kwa yeyote..... na ukisoma lengo la kuanzisha benki yao ni ku outperform the west in any aspect starting with the economy.
Soma hii pia uone how the CHINA and BRICS at large become a threat to the West.... now they are only seeing bad thing to China.
News | Africa-Asia Confidential | First with the news on the Africa/Asia axis
Africa-Asia Confidential | First with the news on the Africa/Asia axis
Niliwahi kusema hapa Ghadafi hakua na kosa lolote, kosa lake ni kusaidia hivi vinchi vyenye njaa na kuviokoa na domo la yale mambwa mwitu ya Marekani na Ulaya...na kweli wote ni mashahidi kwamba mwanaume yule wa shoka hakufaa kuuwawa..natamani siku moja Afrika ilipize hiki kifo cha Ghadafi kweli kabissa...mpaka leo kinaniumiza sana moyo wangu...uzuri wa hii Brics ni kwamba wana nguvu kubwa ya Kijeshi wote na baadhi wana Nyuklia sasa hawa mbwa hawawezi kumpiga yeyote kati ya hawa....