Yaani mpaka hapo hujaona jamaa wako mbali kwenye demokrasia? Utakuwa aidha kipofu au umevaa miwani ya mbao kabisa!Jambo la kushangaza kuna watu wanataka tukubali kwamba UK kuna democracy wakati hili swala bado ni bichi kabisa na hakuna anayejua hatima yake miaka mitatu tangu Waingereza waliposema hawataki huu muungano wa kukomoana.
It wasn't stupid ndugu. Ndio gharama ya Demokrasia, wengi wape! Kusema fedha yao itaporomoka nadhani unakuwa too emotional. Sio rahisi kihivyo. Kutakuwa na mtikisiko kama ambavyo kila kukitokea mabadiliko ya kimfumo inavyukuwa siku zote lakini sio kwa kiwango cha kuporomoka.Boris atachemka vibaya mno. Na wakithubutu tu kutoka “bila deal” watapata taabu sana. Kwanza currency yao itaporomoka sana against Euro na US$. It was a very stupid move kuendelea na BREXIT wakati kura zenyewe ziikuwa very close (52% only in favour)
Boris atachemka vibaya mno. Na wakithubutu tu kutoka “bila deal” watapata taabu sana. Kwanza currency yao itaporomoka sana against Euro na US$. It was a very stupid move kuendelea na BREXIT wakati kura zenyewe ziikuwa very close (52% only in favour)
Hii ya “wengi wape” sio sahihi especially pale ambapo wale wengi wamefanya decision blindly bila kuwa na facts. Hizi abradacadabra unazoziona bungeni kwao ni kwa kuwa sasa hao wawakilishi wa wengi probably hawapo sure tena na ule uamuzi wao.It wasn't stupid ndugu. Ndio gharama ya Demokrasia, wengi wape!
Mkuu ss unposema wengi usiwape unakua ushatoka nje ya demokrasia ss haijalishi wengi wamechagua kizuri ama kibayaHii ya “wengi wape” sio sahihi especially pale ambapo wale wengi wamefanya decision blindly bila kuwa na facts. Hizi abradacadabra unazoziona bungeni kwao ni kwa kuwa sasa hao wawakilishi wa wengi probably hawapo sure tena na ule uamuzi wao.
Hao "wengi" wengi wao ni laymen tu walidhani ni kujitoa kirahisi kama kuchemsha chai ya rangi. Sasa hivi viongozi wao wapo wanahaha wapate "deal" la kueleweka otherwise maisha kwa jumla yatabadilika in terms of visa, work permits, taxes,insurance etc. Most likely wengi hawakufahamu hizi mambo kabla ya kujipigia kura za hasira.Mkuu ss unposema wengi usiwape unakua ushatoka nje ya demokrasia ss haijalishi wengi wamechagua kizuri ama kibaya.
Hao "wengi" wengi wao ni laymen tu walidhani ni kujitoa kirahisi kama kuchemsha chai ya rangi. Sasa hivi viongozi wao wapo wanahaha wapate "deal" la kueleweka otherwise maisha kwa jumla yatabadilika in terms of visa, work permits, taxes,insurance etc. Most likely wengi hawakufahamu hizi mambo kabla ya kujipigia kura za hasira.
I believe ikipigwa kura upya, matokeo yatakuwa tofauti.
Hujui usemalo huna fact UK si bongoBoris atachemka vibaya mno. Na wakithubutu tu kutoka “bila deal” watapata taabu sana. Kwanza currency yao itaporomoka sana against Euro na US$. It was a very stupid move kuendelea na BREXIT wakati kura zenyewe ziikuwa very close (52% only in favour)
Kwani Demokrasia maana yake wananchi wanachagua kila mtu? Naiona sana hii hata kwa Waingereza wanahoji hivyo. Unajua origin ya Malkia, na mamlaka yake kwenye Nchi ya UK? Nadhani ungejielimisha hapo ungejua kuwa bado UK ni moaj kati ya nchi bora duniani kwenye falsafa ya Demokrasia. The fact kwamba Wananchi walichagua kuondoka EU, na kuwa wabunge wanaweza kulazimisha kiongozi wa serikali kupitia sheria wanazotunga na ukweli kuwa Waziri mkuu anaweza kulipinga Bunge Mahakamani kwa hoja kuwa Wabunge wamepotoka, ndiyo demokrasia yenyewe.Nani alimchagua malkia?
''Boris Johnson has said he would "rather be dead in a ditch" than ask the EU for an extension to Brexit negotiations, but declined to say whether he would resign rather than do so.
The comments came on another disastrous day for the prime minister, as his own brother Jo walked out of his government in protest at his leadership.''
Boris yupo upande wa wapiga kura, when we voted for Brexit we meant Brexit.
Nakuelewa. Ila Wabunge kiutaratibu wanapaswa kutimiza matakwa ya Wananchi. Vinginevyo wakitaka maamuzi yafanywe na wachache inabidi warudi kwenye absolute Monarch au DictatorshipHii ya “wengi wape” sio sahihi especially pale ambapo wale wengi wamefanya decision blindly bila kuwa na facts. Hizi abradacadabra unazoziona bungeni kwao ni kwa kuwa sasa hao wawakilishi wa wengi probably hawapo sure tena na ule uamuzi wao.
We umefanya cross multiplication tu hapo ishu za Brexit zinamadhara haswa akiondoka bila deal, Trump atawameza na baada ya muda watajutaMkuu UK uchumi wake sasa hivi ni watatu kwenye EU. Number 1 Germany na 2 France. Ujerumani wanawategemea sana UK kwa soko la magari na hilo likidondoka Germany kwisha habari yake. (Naongelea magari ya kifahari). UK hivi sasa wako wazi watakuwa na nchi kadhaa duniani ambazo soko lake kubwa lipo UK ie USA, Japan, India , Australia, China etc. Vile vile usisahau UK wana currency yao wenyewe yaani (£) ambayo inakubalika popote ulimwenguni. (one of the major Currencies). Wapo vizuri sana do not underestimate them. (BTW kumbuka wakati wa mtikisiko wa dunia ni nchi mbili tu duniani ie USA na UK ambazo zilikuwa zinajichapishia equivalent ya $30 billion kila mwezi kwa miezi 30).
We umefanya cross multiplication tu hapo ishu za Brexit zinamadhara haswa akiondoka bila deal, Trump atawameza na baada ya muda watajuta