MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Bei hiyo kauze njombe..kwa hapa mjini umepata hela nyingi ni 7m
uBei hiyo kauze njombe..kwa hapa mjini umepata hela nyingi ni 7m
u
Ahaaa mkuu umenena ayo magari ya kutumia umeme mjini kupata soko ni issue hpa kwa bei hyo cjui
Aisee.. kumbe yanatumia umeme hayo madude dah!!
Nlikuwa nna mpango wa kuvuta kama hiyo ili niweke heshima barabarani huku kwa wamakonde (Nanguruwe).... Nimeufuta ghafla
Nunua bana.......
u
Ahaaa mkuu umenena ayo magari ya kutumia umeme mjini kupata soko ni issue hpa kwa bei hyo cjui
Unalichaji kama simusijaelewa linatumia umeme kivipi
u
Ahaaa mkuu umenena ayo magari ya kutumia umeme mjini kupata soko ni issue hpa kwa bei hyo cjui
Bei hiyo kauze njombe..kwa hapa mjini umepata hela nyingi ni 7m
u
Ahaaa mkuu umenena ayo magari ya kutumia umeme mjini kupata soko ni issue hpa kwa bei hyo cjui
wapi huko brevis number D, low milage kwa 7M na mimi nikanunue mkuu?Bei hiyo kauze njombe..kwa hapa mjini umepata hela nyingi ni 7m
Kumbe Toyota Brevis inatumia umeme! Jf raha sana kila siku najifunza kitu kipya!
Njombe ndo kuna mafala?