Breakfast idea, simple kabisa: Mkate wa kupaka carrot na mayonnaise

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
63,625
112,704
Mahitaji:
Mkate
Carrot 1
Mayonize

Jinsi ya kuandaa:
. Chukua carrot ikwangue kwenye greater
. Weka mayonnaise kwenye carrot uliyokwangua kisha ichanganye vizuri
. Paka mchanganyiko wa carrot na mayonnaise kwenye mkate, unaweza kukata mkate shape inayoipenda
Mkate upo tayari kwa kuliwa simple kabisa ila mkate unakua na ladha flani amazing

Karibuni sana
Cc: Heaven Sent atoto Heaven on Earth Madame B brenda18
Kaboom mito ongeza kitambi
 
Mie Mayonize ilinikataaga tangu enzi za Yesu....naona kama nakula mafuta ya mgando
 
Hahaaa yaaani nikilaga hilo yai halafu nalikunjia kati kati ya slice mbili za mkate weeeeee, kitambi hichoooo!!!
Ila ndo my favourite breakfast hasa kwa wikend, sema kunenepa sasa khaaaa!! kunanilostisha mamisosi bana

Heaven Sent ,Nifah niazimeni hiyo mwili yenu natural model nipate kufaidi mapochopocho bana. Mdomo unapenda ila huu mwili unanikosesha mengi akyanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…