OME123 JF-Expert Member Oct 4, 2010 1,498 605 Nov 16, 2010 #1 nauliza kama mtu anajua ratiba ya mpira kati ya brazil vs agaentina ni saa ngapi anitaarifu?
OME123 JF-Expert Member Oct 4, 2010 1,498 605 Nov 16, 2010 Thread starter #2 brazil vs agentina nauliza kama mtu anajua ratiba ya mpira kati ya brazil vs agaentina ni saa ngapi anitaarifu?
brazil vs agentina nauliza kama mtu anajua ratiba ya mpira kati ya brazil vs agaentina ni saa ngapi anitaarifu?
Shedafa JF-Expert Member May 21, 2008 802 173 Nov 16, 2010 #3 omunga said: brazil vs agentina nauliza kama mtu anajua ratiba ya mpira kati ya brazil vs agaentina ni saa ngapi anitaarifu? Click to expand... Du, na hii nayo ipo kwenye forum ya uchaguzi!
omunga said: brazil vs agentina nauliza kama mtu anajua ratiba ya mpira kati ya brazil vs agaentina ni saa ngapi anitaarifu? Click to expand... Du, na hii nayo ipo kwenye forum ya uchaguzi!
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Oct 21, 2008 2,268 333 Nov 16, 2010 #4 Mpira utaanza kesho saa 2 kamili kwa saa za Afrika Mashariki.
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Oct 21, 2008 2,268 333 Nov 16, 2010 #5 Mpira utachezwa kesho saa 2 kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
G gutierez JF-Expert Member May 14, 2010 1,246 160 Nov 17, 2010 #6 omunga said: brazil vs agentina nauliza kama mtu anajua ratiba ya mpira kati ya brazil vs agaentina ni saa ngapi anitaarifu? Click to expand... saa 2 kamili usiku kwa saa za bongo usiwakose pia mabingwa wa ulaya na dunia Spain vs Portugal leo pia saa 6 usiku kwa saa za afrika mashariki huko Lisbon Ureno
omunga said: brazil vs agentina nauliza kama mtu anajua ratiba ya mpira kati ya brazil vs agaentina ni saa ngapi anitaarifu? Click to expand... saa 2 kamili usiku kwa saa za bongo usiwakose pia mabingwa wa ulaya na dunia Spain vs Portugal leo pia saa 6 usiku kwa saa za afrika mashariki huko Lisbon Ureno