tunarudi nyumbani kidogo.
acha utani AD bana , hili song lilichukua platinum wewe unasema haujawahi kuliskia?hahahahahaahah lol
nimecheka jamani dahhhh
hii mie sijawahi ona daaahhh
hiyo kofia nyeupe na hayo macho..
haki ya walakhi Klorokwini leo imeniacha hao ..
daaaahhhhh mmmhh
nani ni mapepe hapo ??
huyo baba anayeimba au binti looooohhh
tunarudi nyumbani kidogo.
acha utani AD bana , hili song lilichukua platinum wewe unasema haujawahi kuliskia?
hehehe mkuu BAK huyo ndio Wacko Jacko wa bongo.Mhhh! hahahahahahahaha Ahsante sana Klorokwini kwa kunivunja mbavu lol!
dah! huu mimi nikiuangalia nakuwa naishia kutuma PM. huyo mdada nazani aliumbwa kwa yoghurt. khaaa!naona hata aibu
kusema sijawahi uona wala kuusikia ...
leo mara ya kwanza...
dahhhhh mimi naujua ule wa kiuno sababu napenda kuucheza lol
YouTube - Swahili Song (Kiuno Viuno)
dah! huu mimi nikiuangalia nakuwa naishia kutuma PM. huyo mdada nazani aliumbwa kwa yoghurt. khaaa!