Short Boe Member Joined Nov 15, 2021 Posts 20 Reaction score 16 Sep 20, 2023 #1 Habari, poleni na majukumu Kuna kampuni nimesikia inaitwa BRAVO JOB CENTRE AGENT inatoa fursa za ajira za nje ya nchi nilitaka kufahamu hii kampuni Ofisi zao zipo wapi? na je Ni kweli hizo ajira Ni za uwakika..? Msaada kwa anaejua jamani
Habari, poleni na majukumu Kuna kampuni nimesikia inaitwa BRAVO JOB CENTRE AGENT inatoa fursa za ajira za nje ya nchi nilitaka kufahamu hii kampuni Ofisi zao zipo wapi? na je Ni kweli hizo ajira Ni za uwakika..? Msaada kwa anaejua jamani
Mchunguzi Fukara JF-Expert Member Joined Dec 23, 2021 Posts 235 Reaction score 339 Sep 20, 2023 #2 Ngoja wadau waje
Mtalebani Mweupe JF-Expert Member Joined Mar 12, 2020 Posts 565 Reaction score 654 Sep 20, 2023 #3 Bravo wapo Rissa tower pale Mtaa WA Lumumba. Ukifika Tu pale wanapopika nyama choma uliza floor ya ngapi watakueleza.
Bravo wapo Rissa tower pale Mtaa WA Lumumba. Ukifika Tu pale wanapopika nyama choma uliza floor ya ngapi watakueleza.