Bravo Chadema! Let's move on....

ViVA Chadema.. we have waited so long...! ccm bye bye:A S 103::A S 103:
 
Hivi kwanini watu kama wewe CCM hawakujaaliwa! Ungekuwa unapenda na Ka-Ufisadi kidogo, ningekushauri uende CCM ukawaamshe lakini ndio hivyo tena, bila kuwa fisadi wewe hawakutaki kwani si mmoja wa Magamba.
Wazo zuri ila kwa mtizamo wangu nashauri ujenzi wa chama kuanzia ngazi ya shina ingekuwa ni kipaumbele maana magamba wameenea sana kupitia wajumbe wa nyumba 10-10 walichoharibu ni ufisadi tu
 
Very good analysis mkuu,this is what great thinkers tunahitaji kujadili na si utumbo ambao watu wengine huwa wanaumwaga hapa juu ya chama chao cha magamba.Ukweli mtupu huo na kitu ambacho naona ni muhimu ni sisi wenyewe wanachama kuhakikisha kuwa ile dhamira ya kuwa na chombo cha habari kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 imnatimia.Tunahitaji kujitoa kwa ajili ya chama,tutoe mawazo lakini pia na michango ya fedha ili kulichimba kaburi la CCM mapema cause hadi sasa wanaonekana ni wepesi sana,hawana ubavu wa hoja badala yake wanadandia dandia tBRAVO CHADEMA.
 
Hivi kwanini watu kama wewe CCM hawakujaaliwa! Ungekuwa unapenda na Ka-Ufisadi kidogo, ningekushauri uende CCM ukawaamshe lakini ndio hivyo tena, bila kuwa fisadi wewe hawakutaki kwani si mmoja wa Magamba.

Hata kama ni mweledi kiasi gani inabidi uweke rehani ubongo wako ukishaingia chama cha magamba,ufikiri kwa niaba ya wanamagamba na kutenda kwa ajili ya wanamagamba
 

Ninaposema pisition simaanishi leedership tu no hata membership ni nafasi pia. Kumbe nimepatia kuwa wewe si member basi ndiyo nakuhamasisha hivyo. Usipotaka kuwa mwanachama wa siasa usije shangaa usiowapenda wakakuamulia maisha yako ya kila siku. Siasa ndiyo maisha hakuna maisha bila siasa labda uamue kuishi kama Joji Poli na hata yeye alikuwa mfalme kule forest. So there is no way one can escape from this reality wheather you like or you dont as long as uko under the sun which controls day and moon which control seasons hakuna mtu ambaye siasa haita impact maisha yake. Ukinunua sukari basi kama hakuna democracy ku enhance free competition ili price itawale na pale inapo fail basi government i regulate basi ujue bepari mwanasiasa ata panga a monopolistic price ili apate supper profit. Hapo wewe utachagua uwe mwanasiasa umdhibiti ama uwe mtakatifu ulipe hiyo price ya kibepari!
 

Mkuu ningependa sana kuwa member lakini kwa sasa haiwezekani. Halafu naona unarudi tena pale pale - "Usipotaka kuwa mwanachama wa siasa usije shangaa usiowapenda wakakuamulia maisha yako ya kila siku." Nadhani my vote counts more kuliko kadi ya chama cha siasa. Hata nchi zilizoendelea independents ni wengi kuliko hata hao party members. Kiukweli na ndiyo haswaa hata hoja ya Mtikila ilijikita kuhusu mgombea binafsi kwamba kwa nini ukitaka kuwa kiongozi wa kisiasa lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa?
 
Mkuu ningependa sana kuwa member lakini kwa sasa haiwezekani. Kiukweli na ndiyo haswaa hata hoja ya Mtikila ilijikita kuhusu mgombea binafsi kwamba kwa nini ukitaka kuwa kiongozi wa kisiasa lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa?

Uko usalama wa CCM ama ni mmoja wa makuhani? Ok basi endelea kula bata acha sisi walala pu tutange na njia!
 
Ushauri wako umepokelewa na kufanyiwa kazi pia na Mungu atasaidia sana katika hili
 
Uko usalama wa CCM ama ni mmoja wa makuhani? Ok basi endelea kula bata acha sisi walala pu tutange na njia!

Since those are the only reasons, yes!!! hahahaaha ahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…