Brandnew Samsung Galaxy S4 for sale

Brandnew Samsung Galaxy S4 for sale

Manumbumichael

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
207
Reaction score
19
Brandnew Samsung Galaxy s4 for sale
Original, Boxed with full accessories
16GB Internal Storage
1 year warranty
Price 430,000
Contact 0718942311 or 0785300134
 

Attachments

  • 1440747285479.jpg
    1440747285479.jpg
    86.6 KB · Views: 222
Mkuu simu feki hiyo. S3 inauzwa laki 6 iweje ww uuze laki 4 s4. Kwa haraka hiyo simu ni feki
 
Mkuu simu feki hiyo. S3 inauzwa laki 6 iweje ww uuze laki 4 s4. Kwa haraka hiyo simu ni feki

Aisee tusiharibiane biashara kwa ujinga tu wa kutokujua simu fake, kwahyo wewe kigezo chako cha kuwa fake ni kwasababu kuna watu wanakuliaga hela bure kwa kukuuzia s3 laki 6??What a nonsense!!Kipimo cha kuwa fake imekuwa ni price tu??Kwanza inaonekana hujui simu, kama s3 ikiuzwa laki 6 je Note 2,S4, Note 3,s5, s6,Note 4,s6 edge ,S6 edge plus au Note 5 zitauzwa shilling ngap??Si zitakuwa million 3 au??Au unaleta bei za mliman city unadhan ndio standard??Utakuwa ni mjinga sana kama s3 kwasasa unauziwa laki 6 angalia hata kwenye mitandao ebay au hata amazon ujue gharama za hizi simu zikoje
 
Huyo jamaa hajielew yan wabongo tunapenda kuamin bei juu ndio ubora, wapo weng kma huyo sijui hata kwann
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom