Branded takeaway coffee cups

Webbcoffee

Member
Joined
Feb 8, 2018
Posts
14
Reaction score
3
hivi vitu kuna mtu anatengeneza! Naomba kujua bei yake na utaratibu kisha tufanye biashara.

Nataka kama hizi lakini kwa jina langu.

 
Wewe una shingapi kwa dozen moja japo sio branded nenda kiwandani wanakotengeneza.
 
JF ni kisima cha kila kitu... mwenye kulijua hili
 
dozen zinakuwa 12 tunakutengenezea kuanzia sh 45 na kuendelea karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…