Brand new nokia n9 zinauzwa.

Misterdennis

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2007
Posts
1,741
Reaction score
482
Nimetumwa na mjasiriamali mmoja nimtangazie biashara yake.

Anazo NOKIA N8, anauza kwa 250,000/=

Kama unahitaji send me a PM, nikutumie namba yake ya simu. Yuko based DAR

Nawasilisha.

MASAHIHISHO:
wakuu, simu ni Nokia N8, sio N9 (made in Finland) kama nilivyoambiwa awali.
Samahani sana kwa usumbufu!
 
Isiwe made in Mao Tse Tung /Chou En Lai tu kaka,hata hivyo shukrani kwa kutuambia
 
Mkuu, unaweza kuweka specs zake, hiz simu huwa zina camera nzuri sana; na bei yake ni nzuri kama ni original!
 
specs vipi,inafungua ms word,excel?
 
hao da, hao da!
xie xie ni da bhang zhu......

Hizo sio za kwa Premier Wen Jiabao na Hu Jintao?
 

mkuu label ya made in finland isikutishe hizo za bandikwa tu sio ishu hzo simu mchina kazichakachua knoma na watu wamelizwa saana na bei sawa na uliotaja na kushuka
 
Hiko kitakuwa kitu cha brother ' hu jin tao' original
 
Hu jin'tao labda upeleke Rukwa au Mpanda kwa wakulima wa mpunga
 
Kama kweli ni mpya basi kwa hiyo bei inatia mashaka kama hizo n8 ni origino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…