Mkuu vp unapunza bei???Laptops hzi hapa
Natafuta lenovo yoga,au brand nyingine ya kuifanania,ipo?Nauza laptops mpyaaa!Nipo ujipatie
Bei ni 500000/
Zipo na begi yake na adapter.....yaani complète
Aina zilizokuwepo ni acer,samsung
Kwa mawasiliano zaidi piga sim
0715591141 nko dar
Karibuni
Yani jamaa hovyo kweli, sijui anauza mandazi hapa.Unatangaz kuuza laptops kama mapera,kha!!
Ebu Fanya kuweka na specifications kidogo basi
Duh kweli. Hata ukiza juice lazima useme ina nini nini. Laptop tu kwa bei bado haijakamilika. Pili ni MPYA BRAND NEW au MPYA SECOND HAND MTUMBA?Unatangaz kuuza laptops kama mapera,kha!!
Ebu Fanya kuweka na specifications kidogo basi
We endelea kuleta kibri katika biashara utazitumia mwenyewe geto. Fanya kujibu unachoulizwa sio kuleta mabishano hapa . EboooooTulia kijana acha kuropoka kama ungekuwa na nia ungenitafuta kwa sim mbona namba yangu iko hapo.....huwezi niita ovyooo Juninho sikujui
Ova
We dogo mimii sijaanza Uza vitu humu leo!We endelea kuleta kibri katika biashara utazitumia mwenyewe geto. Fanya kujibu unachoulizwa sio kuleta mabishano hapa . Ebooooo
Ukiona hujaanza leo kuuza vitu humu na bado matangazo yako ni ya onyo hivi, lazima una warakini...We dogo mimii sijaanza Uza vitu humu leo!
We kaa kimya TU acha wanaohitaji ndiyo watanitafuta......we fanya kama unapita tu
Ova