Brand new Canon SELPHY cp900 printer.

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,387
Fanya printouts chini ya dakika 3 tu,ukiwa na Portable Min Printer aina ya canon selphy cp900.

Specifications;-
a.ina print postcard size 4X6.

b.ink cassette yake moja inafanya printouts 36.

c.ina support Wi-fi, Flash, usb cables hivyo unaweza print kutoka sources nyinginezo kam simu au camera popote ulipo bila ya kuwa na Pc.

d.ina screen inayo tilt inayojitosheleza kufanya editing kama ku crop, ku scale na color effects kabla huja Print.
Inafaa kwaajili ya picha ndogo za size 4X6 na passport size pamoja na Stickers mbalimbali.
Bei sawa na bure 250,000.tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…