Dadavua kidogo huyo michelle alikuwa na elimu gani...Unajua elimu aliokua nayo Michelle kipindi anaolewa na Obama,??
Bongo ukiwa na degree tu ishu wanapenda 4m4 na 4m 6 leavers heheh
Wangu ni km MichelleUnajua elimu aliokua nayo Michelle kipindi anaolewa na Obama,??
Bongo ukiwa na degree tu ishu wanapenda 4m4 na 4m 6 leavers heheh
Kuna tofauti kubwa sana kati ya arrogant(ego) na intelligent woman ndio maana unaweza ukahudhulia na kumaliza hata shule 1000 na bado usiwe intelligentWanaume wa Tanzania wanaogopa intelligent women!!!
Kweli mkuu!Kuna tofauti kubwa sana kati ya arrogant(ego) na intelligent woman ndio maana unaweza ukahudhulia na kumaliza hata shule 1000 na bado usiwe intelligent
Tatizo mnatakaga mtupande vichwani.Wanaume wa Tanzania wanaogopa intelligent women!!!
Alikua na degree mbili za sheria,moja kutoka Princeton University ingine Harvard University... Hizi ni kati ya top Universities in the US, a.k.a Ivy LeagueDadavua kidogo huyo michelle alikuwa na elimu gani...
Mhhhhhhhhh em tuwekee pichaWangu ni km Michelle
Hii statement ni generalisation at its worst form, bora ungesema "wanaume wengi Watanzania"....Inawezekana ikawa ni falsafa ya "Ndege wafananao huruka kundi moja", yani mwanaume aliye na elimika kidogo atataka kuwa na mwanamke aliyeelimika kidogo....Kuna wengine hatuwezi kuwa na mwanamke ambaye ni "less intelligent" ninaposema "intelligence" sio tu kwenda shule bali naongelea kuelimika kutokana na maisha aliyopitia (shule inawezekana ikawemo vile vile) Nasisitiza si kila aliyeenda shule ameelimika, nimeshakutana na watu wengi wenye elimu zao za juu ambao ukiongea nao unaona kabisa elimu waliyopata haijapanua wigo wa fikra zao.Wanaume wa Tanzania wanaogopa intelligent women!!!
Well saidHii statement ni generalisation at its worst form, bora ungesema "wanaume wengi Watanzania"....Inawezekana ikawa ni falsafa ya "Ndege wafananao huruka kundi moja", yani mwanaume aliye na elimika kidogo atataka kuwa na mwanamke aliyeelimika kidogo....Kuna wengine hatuwezi kuwa na mwanamke ambaye ni "less intelligent" ninaposema "intelligence" sio tu kwenda shule bali naongelea kuelimika kutokana na maisha aliyopitia (shule inawezekana ikawemo vile vile) Nasisitiza si kila aliyeenda shule ameelimika, nimeshakutana na watu wengi wenye elimu zao za juu ambao ukiongea nao unaona kabisa elimu waliyopata haijapanua wigo wa fikra zao.
Ningependelea kuwa na mtu atakaye challenge akili yangu katika maamuzi mbali mbali sio mtu anayeambiwa na kukubali kama mtumwa, kwa sasa wamejaa watu ambao ni "shallow and materialistic"
Nakubaliana na hoja ya Intelligent woman inafanya familia kufanikiwa zaidi.Michelle alikua na degree mbili za sheria,moja kutoka Princeton University ingine Harvard University... Hizi ni kati ya top Universities in the US, a.k.a Ivy League