AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,893
Mkuu hii technology wanaiweza hapo? maana mimi nimebakiwa na meno 10 tu ya mbele nyama sasa naiangalia kwa macho tuuMpeleke smile dentist wapo Posta, mkabala na Citi Bank. Unapita pembeni ya Holiday inn Hotel. Wapo mkono wa kushoto
Sina hakika kama wana hiyo technology lakini wako equipped vizuri. Utapata ushauri naamini IPO njiaMkuu hii technology wanaiweza hapo? maana mimi nimebakiwa na meno 10 tu ya mbele nyama sasa naiangalia kwa macho tuu
kraniSina hakika kama wana hiyo technology lakini wako equipped vizuri. Utapata ushauri naamini IPO njia
Gharama ya kufix meno inaweza kucost how much?Sio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
Kiongozi nina swali.kuweka jino bandia uwa haiumi kwel?Sio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
Vp mkuu mm nimeshakomaa kbs ni mtuu mzm yani meno yangu hayapo katika utaratib mzuri kbs mpk some time kuchekaa inabid nivunge naishiwa na comfidance kabis kwa jili ya mpangilio mbaya wa meno yangu ss kwa mimi nifanyajee au nawez pata meno ya bandia kuvisha kwa juu naombeni msaad kwa hili wakuu sina raha kbs kila nikijiona kweny kioo naona vibaya na meno yangu hayaSio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
Uko mkoa gani mkuuVp mkuu mm nimeshakomaa kbs ni mtuu mzm yani meno yangu hayapo katika utaratib mzuri kbs mpk some time kuchekaa inabid nivunge naishiwa na comfidance kabis kwa jili ya mpangilio mbaya wa meno yangu ss kwa mimi nifanyajee au nawez pata meno ya bandia kuvisha kwa juu naombeni msaad kwa hili wakuu sina raha kbs kila nikijiona kweny kioo naona vibaya na meno yangu haya
Baba kwa mtu mzima vinafanyika ivyo?Sio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
Nipo manyara mkuu ila popote pale nawez kufik mkuuUko mkoa gani mkuu
Hebu nenda Mt meru hospital kuna madentist wazuri naamini utapata suluhisho paleNipo manyara mkuu ila popote pale nawez kufik mkuu
Asante mkuu na kwa dar es salaam hz hudum nawez pata wapiHebu nenda Mt meru hospital kuna madentist wazuri naamini utapata suluhisho pale
Ushakuwa vampire aiseeVp mkuu mm nimeshakomaa kbs ni mtuu mzm yani meno yangu hayapo katika utaratib mzuri kbs mpk some time kuchekaa inabid nivunge naishiwa na comfidance kabis kwa jili ya mpangilio mbaya wa meno yangu ss kwa mimi nifanyajee au nawez pata meno ya bandia kuvisha kwa juu naombeni msaad kwa hili wakuu sina raha kbs kila nikijiona kweny kioo naona vibaya na meno yangu haya
Hakuna maumivu yoyote kama akikutengenezea vizuri.Kiongozi nina swali.kuweka jino bandia uwa haiumi kwel?