grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jul 29, 2012 #21 Bajabiri said: walimwengu wana nongwa watataka kujua wewe umefata nini hapo?WANAMKULA:sleepy: Click to expand... Umeona eeeeehh... Halafu walivyowachokozi pamoja na kuwaachia hao vimodo wao walai umenikumbusha kitu cha maana sana, ngoja niende kwa babu nikamwekee password.
Bajabiri said: walimwengu wana nongwa watataka kujua wewe umefata nini hapo?WANAMKULA:sleepy: Click to expand... Umeona eeeeehh... Halafu walivyowachokozi pamoja na kuwaachia hao vimodo wao walai umenikumbusha kitu cha maana sana, ngoja niende kwa babu nikamwekee password.
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Jul 29, 2012 #22 Shomari said: View attachment 60054 Huyu kafanana na mtu mmoja maarufu sana ndani ya Bunge letu tukufu. Click to expand... Umeniwahi mkuu au nipicha yake ya mwaka 1970??
Shomari said: View attachment 60054 Huyu kafanana na mtu mmoja maarufu sana ndani ya Bunge letu tukufu. Click to expand... Umeniwahi mkuu au nipicha yake ya mwaka 1970??
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,848 Jul 29, 2012 #23 Heee... Wee Boflo! Hiyo picha yangu nani kakupa idhini unichoreshe humu JF..
R roy allan Member Joined Jul 16, 2012 Posts 69 Reaction score 12 Jul 29, 2012 #24 ebwana huyo wa ukweli cyo masharobalo wa sasa big up kidume
Ston Merchant JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 393 Reaction score 105 Jul 30, 2012 #25 cute kinda.......
jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 995 Jul 30, 2012 #26 umeona eee!!!!!ata mi namfananisha na huyu.......aah...... Shomari said: View attachment 60054 Huyu kafanana na mtu mmoja maarufu sana ndani ya Bunge letu tukufu. Click to expand...
umeona eee!!!!!ata mi namfananisha na huyu.......aah...... Shomari said: View attachment 60054 Huyu kafanana na mtu mmoja maarufu sana ndani ya Bunge letu tukufu. Click to expand...
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,771 Jul 30, 2012 #27 Shomari said: View attachment 60054 Huyu kafanana na mtu mmoja maarufu sana ndani ya Bunge letu tukufu. Click to expand... Shomari sema amefanana na anna makinda huyu spika wa bunge la jamhuri ya tanganyika .JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
Shomari said: View attachment 60054 Huyu kafanana na mtu mmoja maarufu sana ndani ya Bunge letu tukufu. Click to expand... Shomari sema amefanana na anna makinda huyu spika wa bunge la jamhuri ya tanganyika .JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Jul 30, 2012 #28 anaipenda yanga hadi menoni.