Wana Jf habari zenu wote na wanaofunga mwezi mtukufu poleni na swaumu! Ila mwisho wa siku tukaribishane on IDD bhana. Wakuu juu ya uzi huu sijakurupuka ila ni kitu nilichokifanyia uchuguzi . Nimegundukua kuwa silaha kubwa kwetu wavulana katika mchakatro mzima wa kuwatongoza maduu ni Uongo . Nimegundua kuwa wasichana wengi hata awe mgumu au hata katika levels gani kielimu ukitumia uongo yakiwemo maneno ya uongo ya kumsifia huku ahadi kibao usizozitimiza huto I swear UMEMMEGA.
Kwahiyo umeishagundua pia udhaifu wa mama yako na dada zako?
Huu sasa ukorofi,mm nasemaga kama mada huwezi kuchangia ni bora uondoke kimya kimya kuliko kutoa maneno ya kashfa,kwan yeye kamtaja mama dada au mkeo?hayo ni maono yake inawezekana hata wewe uliowahi kuwapata uliwaongopea!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

wengine ukizungumza uongo anakuangalia tu mpaka unamaliza harafu anakuuliza una sh ngap
Tatizo la Viroba na Bangi.Kwahiyo umeishagundua pia udhaifu wa mama yako na dada zako?