On the presence of great boxers, probably that is not the problem: even Sony Liston was one of them. My question is on the greatest fights like the Thrilla in Manila.
Pambano la Manilla lilikutanisha wanaume wenye mapafu na misuli kweli kweli
AL SHARPTONJoe Louis vs. Max Schmeling refers to two separate fights which are among boxing's most talked about.
Schmeling won the first match by a knockout in round twelve, but in the second match, Louis won through a knockout in the first round. Although the two champions met to create a pugilistic spectacle remarkable on its own terms, the two fights came to embody the broader political and social conflict of the times
Ali and Frazier linabaki kuwa ndio pambano mashuhuri kuliko yote katika historia ya boxing dunianiAL SHARPTON
Nimeangalia ile documentary ya Joe Louis hapa, kweli nimeipenda sana na kweli Joe alikuwa ni mpiganaji sana katika wakati wake. Asante sana kwa kutoa link hiyo; aata hivyo bado ninaamini kuwa pambano la Frazier na Ali la Manila ndilo lililokuwa la nguvu na mapafu nadhani kuliko hayo ya nyuma.
Ali and Frazier linabaki kuwa ndio pambano mashuhuri kuliko yote katika historia ya boxing duniani
Ali & Frazier mkuu ndio the most famous fight in the history of boxingHapana mkuu hili la Manilla ni la 2 kwa ubora ktk mapambano ya ngumi duniani!
Pambano la kwanza la ndindi gumu na zuri kupata kuchezwa duniani ni "rumble in the jungle" pale Kinshasa Zaire ya kale ya Mobutu Seseseko mwaka Oktoba 30,1974 kati ya Mohamed Ally na George Foremen!Ktk rounds ya 8 Foreman akalala chali
Ready to be corrected