Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,ningependa kujua ni maeneo gani hapa dar es salaam ambapo kuna boxing club nzuri,au kuna mwalimu mzuri wa mchezo wa boxing(masumbwi).
ikiwa mitaa iliyo kati ya mji itapendeza zaidi,nawasilisha.