Boxer 362 BPV

Boxer 362 BPV

Mlevihalisi

Member
Joined
Dec 9, 2017
Posts
19
Reaction score
3
Jana nilitangaza kuuza pikipiki yangu,,asanten kwa wote mlionishaur naambatanisha na picha,,pikipiki ipo posta karibu na ofisi za bot!! Document zote ninazo,,ina bima lakin third part inaisha mwez ujao!! Haijafunguliwa mashine zaid ya service za kawaida!! Pikipiki nilikuwa naitumia kwa matumiz binafs nauz kwa sababu nna uhitaji wa hela pia nna usafir mwingine!! Kwa mawasiliano 0767663600
Pikipiki n ya kwangu mwenyew hivo c dalali!!
Bei n 1,800,000 lakin maongez yapo ya kutosha!! Njoo uikague
IMG_20180419_065431.jpg
IMG_20180419_065445.jpg
IMG_20180419_065505.jpg
IMG_20180419_065420.jpg
IMG_20180419_065407.jpg
IMG_20180419_065335.jpg
IMG_20180419_065352.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom