uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
si mlisema Hamas wanashinda vita , sasa vita wanashinda kwa mabomu ya mabomba ya maji ?Taarifa za kujifariji hzo tangu Hezbollah waanze kuishambulia Israel ingawa vita kubwa imeshalipuka hila Israel anavumilia maumivu maana Hezbollah washamwambia wanatoa dose kutokana na yy atakavyojibu mashambulizi akiingia kwenye miji mikuu na yy kwake kutapgwa na bahati mbaya iron dome hazina uwezo wa kuzuia makombora ya Hezbollah,iron dome inazuia rocket za Hamas zilizotengenezwa na mabomba ya maji
Mafundisho ya Mtume wao ndio yamewapoteza.. zamani nikajua wakiishi wenyewe amani inatawala kumbe shida yao ni umwagaji damu tu
Kwa mabomu ya mabomba ya maziwasi mlisema Hamas wanashinda vita , sasa vita wanashinda kwa mabomu ya mabomba ya maji ?
Kuliko wale wanaobarikiwaWale mafundisho yao ni ya ki vampire [emoji3376].
MUONGO ACHA UONGO NA ACHA UFALA.Waziri wa mambo ya nje wa lebanon amenwomba waziri wa diplomasia wa ufaransa kuwasihi israeli isiitandike lebanon
Upande wa nchi wa lebanon umekuwa kimbilio kwa magaidi yenye asili ya palestine ambao wakiwa lebanon hujifungamanisha na chama cha kigaidi cha hezbollah
Kutokana na magaidi ya hezbollah kushambulia israeli kwa kuvizia serkali ya lebanon inahofu huwenda nao wakageuzwa majivu km Gaza ilivyofanywa
Kupitia ziara ya waziri wa ufaransa ameiomba kufikisha ujumbe kwa Israel kuepuka kuishambulia lebanon
Credits Reuters
..
Hapa kuna la kujifunza
Lebanon ilikuwa nchi ya wakristo safi ila kutokana na migogoro wakristo wengi waliuawawa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe
Wasuni waliungana na magaidi ya kipalestina kuwaumiza wakristo
Wakristo wengi walikimbia nchi na kuhamia ulaya na USA h
Inakadiriwa kwa sasa wakristo ni 30% tu huku 70% wakiwa wale jamaa
Kuliko wale wanaobarikiwa
Mazayuni magaidi ndio fungu la kukosaWote hao ni fungu la kukosa.
Mazayuni magaidi ndio fungu la kukosa
Mnaanza kupata akili kama mayahudi walimuua mungu wenu yule sanamu mkaa uchiMajahudi hao inajulikana, wako kwenye fungu la kukosa kwa kuwa walimkana bwana Yesu na kumuua.
Mnaanza kupata akili kama mayahudi walimuua mungu wenu yule sanamu mkaa uchi
Wewe huelewi Yesu siyo Mungu. Mungu na Yesu ni wawili tofauti. Mmoja ana nguvu zisizo mithirika na mwingine ni mdogo. Ana ukomo wa uwezo. Kuhusu mayahudi, wale hawatambui kama Yule alikuwa ni masihi aliyetumwa kwao. Ndiyo maana Mungu akawatupa chini, hawana cha uteule wala nini hapa!!!
[/QUOTE
Yesu mungu sio mungu