Botha:African can not rule themselves

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,886
Reaction score
165,963
Alisema: "Give them guns and they will kill each other.They are good at nothing else except........."

Haya maneno mengine wacha tu nisimalizie maana ni aibu.

Nimekumbuki hii speech inayodaiwa kutolewa na Both(kiongozi wa makaburu) mwaka 1985.Iko pia mtandaoni wewe gogo tu Botha Speech utaiapata.

Wenzetu ulaya wanabadilika ila sisi bado kabisa.
 
Kumbe tatizo ni uafrika wetu na si chama wala katiba kama wwngine wanavyodai.
 
Hotuba hii ya PW Botha inauma sana lakini ni ukweli mtupu

"An avarage african can not plan his life beyond one year, they like shortcuts"
 
Pole sana vile vitu serikali imevifungia lakini vumilia utazowea mwanzo mgumu!
 
Hatujawah jifunza, ubabe wa kijinga tu unaua bara letu.... nani mshindi south sudan? Je wanacho fanyiwa upinzani si wanaweza lianzisha tu
 
Hii Story kila wakati mnaileta humu hivi kabla hamjaleta thread zenu za kizembe searching kwanza humu humu jf mnajaza seva tu.
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Unyani mwingi mwaisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…