Vuta subira mambo kama hayo na hasa katika taasisi za serikali yanakuwa na milolongo mingi mpaka wa sort wamalize majina yapitishwe na kamati ya ajira au bodi inategemea na wenyewe walivyojiwekea sasa utakuta ile coram ya bodi au kamati ya ajira watatu au mwenyekiti wapo safari inabidi wasubiri pia wakiyapitisha waandae tarehe za kuita pia itategemeana na fedha zipo kwa kipindi hicho.
Mwenyezi mungu anasema kwa sisi waislam kila mwenye kusubiri mungu yupo pamoja nae mdogo wangu.
Labda nikupe story yangu mie mimi mwaka 2002 mwezi wa 3 nafasi za kazi zilitoka sehemu fulani fulani mwezi wa tukaitwa interview mwezi wa 11, mwaka 2003 mwezi wa 6 tukaitwa kazini hebu fikiria sasa nilivyoitwa tu kuanza kazi nikaitwa kwa mwezi mmoja wizara 3 mpaka nikawa mgonjwa wakutojitambua naumwa nini lakini mzazi wangu mmoja alinishauri ni ka stay sehemu mpaka leo niko ingawa sasa ni miaka kumi inatosha nataka ni move sehemu nyingine if god wishes.