Bot kuanza kuita wiki ijayo

Joined
Oct 13, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Benki kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuita kwa ajili ya usaili wa nafasi zake ilizotangaza mwezi wa kumi.Msikae mbali na simu zenu.Nawasilisha.
 
Huu ni uongo, dealine ilikuwa november. hiyo short listing wamefanya lini na masikukuu yote haya?
 
Vipi kuhusu vimemo vya kutoka kwa waheshimiwa kwa ajili ya watoto wao? Na vyenyewe vinafanyiwa shortlist?
 
nashukuru kwa taarifa,lakini kazi ipo kweli,T.R.A vipi napo?
 
vp kuhusu TAKUKURU? mbona hamuiongelee wakuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…