genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 250
😀😀 kwamba kijana ni domo zege..... kwa maana hiyo atakuwa muumini wa chaputa?????????????Sema wewe ni domo zege tu...maana unazungukaaa Wakati conclusion unaijua
Simple plain English would help otherwise he wouldnt get the message.Long as you can score a few pieces to let you motor-boat and beat the gut every now and then, I'd say that's how life as a 20 year old shortie post to be.
Simple plain English would help otherwise he wouldnt get the message.
Unaweza ukawa na kibamia halafu huwezi kitumia vizur na wameshasimuliana.Nawasalimu wanajamii,
Nina miaka zaidi ya 20 nipo chuoni hapa Dar mwaka wa kwanza.
hadi ninapoandika haya najiona nipo single kwa maana kwamba hakuna msichana ninayemregard kama girlfriend.
Nishawahi kuwa kwenye mahusiano lakini yameshavunjika yote sijui kwanini nipo single hadi sasa. Navaa vizuri "smart", ni bishoo, hustler, uhandsome upo, funny, caring na pesa madafu kidogo zipo ingawa sio mhongaji. lakini bado nipo single tu.
Nimefikiria sana nikaona nibaki hivihivi hadi atakapojitokeza wa kuwa naye. naelekeza nguvu zote kutengeneza maisha kwa kutimiza ndoto zangu badala ya kutafuta wasichana jambo ambalo limeshindwa kuzaa matunda. Nahisi was meant to stay single forever.
what's meant to be will always find a way...kama kuwa single hupungukiwi na chochote .basi focus kwenye ishu zingine..kumbuka kuna maisha ya baadae after ujana...yupo MTU kwa ajili yako ila muda Wa kumpata haujawadia ila muda ukifika utampata ..@[emoji120]Nawasalimu wanajamii,
Nina miaka zaidi ya 20 nipo chuoni hapa Dar mwaka wa kwanza.
hadi ninapoandika haya najiona nipo single kwa maana kwamba hakuna msichana ninayemregard kama girlfriend.
Nishawahi kuwa kwenye mahusiano lakini yameshavunjika yote sijui kwanini nipo single hadi sasa. Navaa vizuri "smart", ni bishoo, hustler, uhandsome upo, funny, caring na pesa madafu kidogo zipo ingawa sio mhongaji. lakini bado nipo single tu.
Nimefikiria sana nikaona nibaki hivihivi hadi atakapojitokeza wa kuwa naye. naelekeza nguvu zote kutengeneza maisha kwa kutimiza ndoto zangu badala ya kutafuta wasichana jambo ambalo limeshindwa kuzaa matunda. Nahisi was meant to stay single forever.
Mkuu kabla hatujakusaidia vipi Jogoo anapanda mtungi?..Nawasalimu wanajamii,