Boris adai Putin alitishia kumuua

Kwa hiyo inaonyesha alipotishiwa nayeye akaogopa ,au labda hata kule kujiuzuru huenda aliamua kutumia mbinu ya kufanya madudu makusudi ili wa UK wamtimue.ili aepukane na biti la Putin!!
 
Putini ni mtu wa ndaro tu saiv anakodi vikosi toka nje hana tena jeshi loote limefyekwa taaban nafsi yake anajuta kuchokomoa mambo, maamaee
 
“Alinitishia mimi akasema, Boris, sitaki kukuumiza, lakini kwa kombora itakuwa dakika moja tu,”
Sijaona neno kuua katika sentensi hii bali nimwona neno kuumiza, kumuuziza mtu ni kumsababishia maumivi kuua ni kitendo cha kuondoa uhai, kuna utafauti
 
kabla hujafa unaumia kwanza na kupitia mateso makali sana 🙂 🙂 🙂
 
Muongo huyo anatafuta kick, mbona hakusema wakati ule ule aje aseme leo? Na alivyo na kimbelembele hata nzi hafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…