Borehole drilling and ground water survey services

tawa driller

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
296
Reaction score
152
Habari wana jukwaa,sisi tunajishughulisha na uchimbaji wa visima pamoja utafiti wa maji ( ground water survey ) kwa bei rahis.
Tunachimba kwa shillingi elfu sitini kwa mita moja na tunaweka pampu. Pia gharama za utafiti wa maji ( ground water survey ) ni shilingi 350000 tunapiga verse 2.
Tupo Dar es salaam piga simu namba 0655541948,0628080096
Nb: hizi bei ni kwa walioko Dar es salaam
 
Salam
Nina shamba lipo mvuti ktk geleza sehemu inaitwa magoza.
Nahitaji kufanyiwa driling,bila pump.
Sehemu ni offgrid nahitaji kuagiza pump za solar ambazo hutumii inverter.
Bomba zenu diameter yake ngapi?ili nipate kujua size ya pump.
Je na huko magoza mtanitoza kiasi hicho hicho.
Kama ni kiasi hicho,nipo tayali.
Je bila pump itakuwa kiasi gani . mfano mkichimba mita 50
Please ASAP
 
Kwa mikoani kama Singida mnafika na gharama zitakuwaje ?
 
Mkuranga sehemu za Nyamaronda mtanitoza kiasi gani kwa mita pamoja na vifaa vingine
 
Salam
Nina shamba lipo mvuti ktk geleza sehemu inaitwa magoza.
Nahitaji kufanyiwa driling,bila pump.
Sehemu ni offgrid nahitaji kuagiza pump za solar ambazo hutumii inverter.
Bomba zenu diameter yake ngapi?ili nipate kujua size ya pump.
Je na huko magoza mtanitoza kiasi hicho hicho.
Kama ni kiasi hicho,nipo tayali.
Je bila pump itakuwa kiasi gani . mfano mkichimba mita 50
Please ASAP
Mkuu mvuti bei ni hiyo elfu sitini kwa mita mkuu na bomba zetu ni nchi 4.5
 
Mvuti ni kubwa kiongozi. Ukifika mvuti kufika kwenye gereza pana mwendo kidogo. Kutoka hapo magereza kwenda ktk bonde la magoza mji mpya napo kuna mwendo. Ulizia unipe jibu la uhakika.
Nikupe kazi
 
Mkuu kutoka mvuti stand hadi kwenye site yako pana umbali gani? Au ni safari ya muda gani? Be specific
 
Kwa maeneo yoote ya Dar es salaam ambayo hayana mwamba mgumu tunachimba kwa shillingi elfu sitini kwa mita pamoja na pampu
 
Mkuu kutoka mvuti stand hadi kwenye site yako pana umbali gani? Au ni safari ya muda gani? Be specific
Nimekusoma ni karbu kidogo na mkuranga.
Sio mbali sana.7to 8km
Ila. Mimi sihitaji pump.mtanichimbia kwa kiasi gani?
 
Mkuu tutakuchimbia elfu sitini kwa mita ila tutaondoa gharama ya pampu ambayo ni laki tatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom