OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Si ndio mkuu tutafute fursa..ukipata nijuzeKuna mtu anaweza kunifanikisha kufika Tasmania au Australia second place
Sio utapeli mkuu ni serious mission.Utapeli wa miaka ya nyuma unarejea, unaenda kuomba visa ya kusoma Spain, unajua Spanish?
Atuzamii mkuu ni njia halali kabisa ..kama vip nicheki pmYaani ukifungua tu bizness jamaa wanataka service leavy ya mwaka mzima. Ila kuzamia hapana. twende kwa njia halali mkuu
Hakuna utapeli mkuu ..ni suala la kuwa utayari tu ..usiogopeHizo nchi ni dangerous sana lakini kwa utafutaji popote unaenda lakini bandiko lako lipo kiwizi wizi kuwaibia watu
Sawa kiongozi ahsanteAnza kozi ya kihispaniola au kiitaliano kwanza kabla hujafikiria kwenda huko...
Nia ninayo na nikijipanga nikawin nitakujulisha, ila kwa kweli sijisikii kabisa kwenda Yuropa, akili yangu imelalia Tasmania, New Zealand au AustraliaSi ndio mkuu tutafute fursa..ukipata nijuze
Mkuu mfano mim ni professional ni mhasibu then Spain sio kwamba ndio destiny hapana ni mwanzo tu lengo langu nifike Canada ..so Spain ni kama kianzio ndo maana naitaji watu kama wawili wenye umri kuanzia miaka 30 ivi ..na wawe furesh kwenye kujieleza tu ..mambo mengine tutashirikiana..Spain nimekaa kikazi kwa miezi 4 nilikuwa mjini Bilbao,Spain kiufupi Kuna Hali ngumu na ubaguzi upo kwa watu ambao sio professional
Nipo na shirika fulani
Pia nilitembelea mji wa Malaga kwa utalii
Njia rahisi kuliko zote ni,Tafuta festival zao ujue zinafanyika lini?,then pata kibali basata au taasisi yoyote inayousiana na sanaa....@#%% the simplist method ya kwenda popote duniani.Mkuu mfano mim ni professional ni mhasibu then Spain sio kwamba ndio destiny hapana ni mwanzo tu lengo langu nifike Canada ..so Spain ni kama kianzio ndo maana naitaji watu kama wawili wenye umri kuanzia miaka 30 ivi ..na wawe furesh kwenye kujieleza tu ..mambo mengine tutashirikiana..