Bora mganda kulko mkenya!

Wana shash! 2015 nilikuwa Entebbe nikafikia hotel inaitwa "lake heights view" kama nakumbuka jina vizuri. Hotel ipo kando ya ziwa Victoria. Nje ya hotel Kuna kama sehemu wanatoa huduma ya massage! Aise acha halafu bei haina tamaa. Nakumbuka ilikuwa elf 50 za uganda
 
Inategemeana na wewe umewaendea vipi ukiwaendea vibaya nawe utawaona wao wabaya all in all heshima ndo kila kitu kwenye mahusiano
 
Oa kwenu au hakuna wanawake mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…