mkuu,mi mwenyewe nimetoka kutengeneza muda sio mrefu,ingia google u download program inayoitwa iso2disc:a s 39: Msaada wakuu kwa anayejua jinsi ya kuandaa bootable flash disk ya windows 8 :frusty:
Tafuta tool inaitwa Windows 7 USB/DVD Tool ni simple sana kuitumia and works perfect:A S 39: Msaada wakuu kwa anayejua jinsi ya kuandaa bootable flash disk ya windows 8 :frusty:
unaweza chukua fuor GB flash ukaiformat into NTFS then uka copy ma file ya windows kwenye hiyo flash. Uwa nikiwa sina software nafanya hivyo and mostly it works lakini iliwahi nigomea kama two times.
so sijajua kwanini sometimes it works sometimes inagoma but you can try and remember to format back your flash to FAT after your done.
how do you format the flash into NTFS?
Unaifomrat kama kawaida unavyo format flash lakini kwenye pale kwenye FAT una change to NTFS the ndipo una format,
Si ukichomeka flash then ukachagua kuformat inatokea window inayokutaka uchague wataka iformat katika mfumo gan hapo hapo kuna FAT kama default waweza change into ntfs.
Na remember kuweka boot from USB kama first option kwenye bios
Tangu PC yangu iharibike cd room sijawahi kujisumbua kufanya installation kwa cd, huwa napiga commandline kuifanya flash disk kuwa bootable na kuingiza mafaili ya OS yoyote na kufanya installationunaweza chukua fuor GB flash ukaiformat into NTFS then uka copy ma file ya windows kwenye hiyo flash. Uwa nikiwa sina software nafanya hivyo and mostly it works lakini iliwahi nigomea kama two times.
so sijajua kwanini sometimes it works sometimes inagoma but you can try and remember to format back your flash to FAT after your done.
na unapo copy hizo fili zinakua fortmat gani iso au ipiTangu PC yangu iharibike cd room sijawahi kujisumbua kufanya installation kwa cd, huwa napiga commandline kuifanya flash disk kuwa bootable na kuingiza mafaili ya OS yoyote na kufanya installation