Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Dec 23, 2019 #1 Habari za leo wakuu, hivi boom la Chuo Kikuu hutoka kila baada ya muda gani? Natanguliza shukrani
mazojms JF-Expert Member Joined Sep 22, 2017 Posts 1,625 Reaction score 2,544 Dec 23, 2019 #2 Hicho chuo ulichopo hakuna wakubwa? Au nyie ndio wale mnaodoea pesa za wenzenu wanaohangaika kutafuta elimu vyuoni. Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho chuo ulichopo hakuna wakubwa? Au nyie ndio wale mnaodoea pesa za wenzenu wanaohangaika kutafuta elimu vyuoni. Sent using Jamii Forums mobile app
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,830 Reaction score 10,093 Dec 23, 2019 #3 kila baada ya miezi 2 kwa semester 1 utapewa mara 2 na kwa semester 2 utapewa mara 4 so kwa mwaka unaweza pewa almost 2.2m Sent using Jamii Forums mobile app
kila baada ya miezi 2 kwa semester 1 utapewa mara 2 na kwa semester 2 utapewa mara 4 so kwa mwaka unaweza pewa almost 2.2m Sent using Jamii Forums mobile app
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Dec 23, 2019 Thread starter #5 mazojms said: Hicho chuo ulichopo hakuna wakubwa? Au nyie ndio wale mnaodoea pesa za wenzenu wanaohangaika kutafuta elimu vyuoni. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndio wakubwa hawapo cc ndo wa kwanza kuingia mkuu
mazojms said: Hicho chuo ulichopo hakuna wakubwa? Au nyie ndio wale mnaodoea pesa za wenzenu wanaohangaika kutafuta elimu vyuoni. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndio wakubwa hawapo cc ndo wa kwanza kuingia mkuu
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Dec 23, 2019 Thread starter #6 jerrybanks said: kila baada ya miezi 2 kwa semester 1 utapewa mara 2 na kwa semester 2 utapewa mara 4 so kwa mwaka unaweza pewa almost 2.2m Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante mkuu
jerrybanks said: kila baada ya miezi 2 kwa semester 1 utapewa mara 2 na kwa semester 2 utapewa mara 4 so kwa mwaka unaweza pewa almost 2.2m Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante mkuu
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Dec 23, 2019 Thread starter #7 Bouja said: First year bn Click to expand... 😂😂Nambie mzee wa third year naona wewe ulifika tu chuo ukawa third year
Bouja said: First year bn Click to expand... 😂😂Nambie mzee wa third year naona wewe ulifika tu chuo ukawa third year
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,143 Reaction score 3,226 Dec 23, 2019 #8 ndo mqna mdah mwingne serikali inakurupuka na maamuzi ya kulikata boom au kuwacheleweshea kwanza muisome namba
ndo mqna mdah mwingne serikali inakurupuka na maamuzi ya kulikata boom au kuwacheleweshea kwanza muisome namba
Emery Paper JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 1,427 Reaction score 2,737 Dec 23, 2019 #9 Ni kila baada ya wiki 8 tangu ufungue chuo.
A Amando JW New Member Joined Dec 18, 2019 Posts 3 Reaction score 1 Dec 24, 2019 #10 Kaluluma said: Nambie mzee wa third year naona wewe ulifika tu chuo ukawa third year Click to expand... af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app
Kaluluma said: Nambie mzee wa third year naona wewe ulifika tu chuo ukawa third year Click to expand... af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Dec 24, 2019 Thread starter #11 Amando JW said: af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Si ndo hapo sasa yaani kila kitu first year
Amando JW said: af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Si ndo hapo sasa yaani kila kitu first year
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Dec 24, 2019 Thread starter #12 Amando JW said: af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Si ndo hapo sasa yaani kila kitu first year
Amando JW said: af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Si ndo hapo sasa yaani kila kitu first year
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Dec 25, 2019 #13 Amando JW said: af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unasoma chuo kweli? Mbona hujui kuandika? Sent using Jamii Forums mobile app
Amando JW said: af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unasoma chuo kweli? Mbona hujui kuandika? Sent using Jamii Forums mobile app
Stazius Magoma Member Joined Dec 16, 2019 Posts 15 Reaction score 5 Dec 26, 2019 #14 kwnz ww unaonekana unapenda xana vya bure Sent using Jamii Forums mobile app
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Dec 26, 2019 Thread starter #15 Stazius Magoma said: kwnz ww unaonekana unapenda xana vya bure Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dah kwanini mkuu?
Stazius Magoma said: kwnz ww unaonekana unapenda xana vya bure Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dah kwanini mkuu?
X Xharp Member Joined Sep 13, 2018 Posts 63 Reaction score 78 Dec 26, 2019 #16 sis tushasain tunasubr mzgo Sent using Jamii Forums mobile app
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Dec 26, 2019 #17 Hiyo ni SUA bila shaka Xharp said: sis tushasain tunasubr mzgo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni SUA bila shaka Xharp said: sis tushasain tunasubr mzgo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Best Daddy JF-Expert Member Joined Apr 2, 2019 Posts 950 Reaction score 1,678 Dec 31, 2019 #18 Amando JW said: af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kusema kweli, Umenikwaza na Uandishi wako. Wjanja=Wajanja, xana= Sana. uyo= Huyo qama= Kama Cjui= Sijui. Hata huyu pia ni degree holder wa Fani flani baada ya Miaka mitatu??. Nyie ndio mnasababisha baadhi ya Wazazi washindwe kusomesha watoto wao sababu ya Ujinga jinga wenu.
Amando JW said: af continuous wnajionaga wjanja xna qama uyo boya,, cjui anaxhngaa nn Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kusema kweli, Umenikwaza na Uandishi wako. Wjanja=Wajanja, xana= Sana. uyo= Huyo qama= Kama Cjui= Sijui. Hata huyu pia ni degree holder wa Fani flani baada ya Miaka mitatu??. Nyie ndio mnasababisha baadhi ya Wazazi washindwe kusomesha watoto wao sababu ya Ujinga jinga wenu.