Actualy hajajichanganya, hana kosa lolote kisheria is why wanashindwa kumfungulia kesi
Incase unataka cv yake , ni kenyan photojournalist, politician, and activist, alipata umaarufu 2007-2008, alipata tuzo ya CNN africa kama mpiga picha bora 2008-2010
Na ameshiriki activitis nyingi sana kenya, ni one of reowned journalist