Hakuna kuwaonea huruma wamezoea vya kupewa ndio maana wanashindwa kupambana na hao WACHAKACHUAJI wakazi zao. Tena usishangae kusikia hata hiyo studio yenyewe Mkwere alifadhiliwa na haohao WACHAKACHUAJI waki-Dosi.Ilikuwa njaaa jamani tuwaonee huruma
Wengi wa wasanii wa Bongo flavour Mnachekesha sana mlipokuwa mkinunuliwa kutumbuiza na kipigia debe CCM wakati mwenzenu Mr II alipokataa kutumiwa na CCM na kwenda kujikita upinzani. Haya naona eti mmeahidiwa na JK mtambo na studio mpya ya kisasa ya kurekodia sanaa zenu kama vile Sony Records!!! ha ha ha ha!
Hamtopata hata CD/DVD burner shwaini nyie!!
Badala basi hata mpiganie kudhibitiwa kwa copy rights za kazi zenu mnachekelea kutumbuiza kwenye kampeni za CCM na kuahidiwa ahadi za kijinga. Hamna nyimbo wala gitaaa mmeishiwa na njaa zenu zitawapeleka pabaya.
Njaa zenu zitawaua, angalieni mwenzenu kapeta sasa.

MARLOW
ZE KOMEDI
FLORA MBASHA[kwaya biashara]
diamond na nyimbo zake mbili
etc ...the list is long
Hakuna kuwaonea huruma wamezoea vya kupewa ndio maana wanashindwa kupambana na hao WACHAKACHUAJI wakazi zao. Tena usishangae kusikia hata hiyo studio yenyewe Mkwere alifadhiliwa na haohao WACHAKACHUAJI waki-Dosi.
wengi wa wasanii wa bongo flavour mnachekesha sana mlipokuwa mkinunuliwa kutumbuiza na kipigia debe ccm wakati mwenzenu mr ii alipokataa kutumiwa na ccm na kwenda kujikita upinzani. Haya naona eti mmeahidiwa na jk mtambo na studio mpya ya kisasa ya kurekodia sanaa zenu kama vile sony records!!! Ha ha ha ha!
Hamtopata hata cd/dvd burner shwaini nyie!!
Badala basi hata mpiganie kudhibitiwa kwa copy rights za kazi zenu mnachekelea kutumbuiza kwenye kampeni za ccm na kuahidiwa ahadi za kijinga. Hamna nyimbo wala gitaaa mmeishiwa na njaa zenu zitawapeleka pabaya.
Njaa zenu zitawaua, angalieni mwenzenu kapeta sasa.
NIpeni majina ya waliotumiwa ili niwatoe ktk shopping list zangu pls