Najua gari nyingi zinakuja zikiwa ndivyo zilivyo, ila je wataalam wetu mambo ya sound na urembo wa magari wanaiweza kitu hii au ni mambo ya majuu?
Nawasilisha.
niliweka mwenyew mkuu,na tablet moja nilikua nayo nyingine nikanunua kama 700 iv,pia radio niliagiza ebay kwa 800tsh,radio ni android kama simu tu make app unapakua humo humo

Vipi changamoto ya parking za mjni zilivyo hatarishi??
Manaake kama wanavunja kwa ajili ya power window na mikoba ya wanawake/laptops vipi wewe ndugu uliyewawekea tabs zote hizo???
Manaake katika vitu vinanikera kuhusu Dsm ni usalama wa magari. Mimi si mkazi wa Dsm kwa muda mrefu ila walishawahi kumpiga wife side mirrors tu pale jangwani. Nilipoenda kuweka mpya wananiambia nizichore namba(huwa sifanyi hivyo)au niweke kibati sijui. Matokeo yake unaharibu shoo nzima ya gari.
NB😛ia nna kumbukumbu mbaya ya kuvunjiwa kioo na kuibiwa simu japo ilikua jokia ya kawaida tu ila walinitia hasara kile kioo kidogo cha spacio(ilikua 2010) nikiwa chuo.
Unakabiliana vipi na hio kero ukijaza urembo kwenye gari??? MLIMANICITY