Crucifix JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 1,655 Reaction score 593 Feb 28, 2011 #1 Kuna habari kuwa kuna bomu ambalo bado kulipuka na limeonekana Bagamoyo. Nimeisikia habari hii wakati ikimalizika na nimepiga simu kwa mtu wa Bagamoyo amesema ni kweli kuna habari hizo. Wenye habari zaidi mtujulishe tafadhali.
Kuna habari kuwa kuna bomu ambalo bado kulipuka na limeonekana Bagamoyo. Nimeisikia habari hii wakati ikimalizika na nimepiga simu kwa mtu wa Bagamoyo amesema ni kweli kuna habari hizo. Wenye habari zaidi mtujulishe tafadhali.