Ok, mods waweza kusaidia. Kisimu changu kidogo dogo Kitajaza nafasi ya hayo maneno.
Lakini mdau, je una ufahamu wowote, huyu mtangazaji aliwahi kuishi Congo au ndugu yake alikua ni Baloz au ni vipi? Maana anajua sana, wakati mwingine alikua anaongea na Koffi live kwa simu na kurusha mazungumzo live redion.