sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
Mwaka huu ni kukomoana na kitakachotokea n weng kuahirisha mwakaMbona wako kimya sana mwaka huu??? Hata majina waliokosea kuomba hawajatoa!!! Au mwaka huu hayupo aliyekosea kuomba?????
Mmmmmh jambo gum kuwezekanaInawezekana hayupo aliyekosea kuomba
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wakifika batch ya nne kama cjapata mkopo naacha chuoVumilieni, hata kama kinafunfuliwa kesho. Zama zetu ilikuwa zinatoka hadi batch 20 za majina ya mkopo, so unakuta mtu anakuja kupata mkopo semister ya pili. Labda tunarejea kule.
SourceInasekana hata kama kuna watu waliokosea watarekebisha pindi watakapokua vyuoni huko huko
upo nchi gan ww mbn yametoka zaman sana[emoji1]Mbona wako kimya sana mwaka huu??? Hata majina waliokosea kuomba hawajatoa!!! Au mwaka huu hayupo aliyekosea kuomba?????
Itakuwa yametoka nchini kwenu somaliaupo nchi gan ww mbn yametoka zaman sana[emoji1]