Waambie wazazi wenu vijijini wapige kura kwa umakini next time maana ndio chanzo cha matatizo yote haya!Jamani hivi mbona mwaka huu bodi ya mikopo "heslb" wamechelewa sana kutoa majina ya wanafunzi watakaohitajika kwenda kurekebisha ili kama kuna mapungufu watu wakarekebishe kama kuweka sahihi ,picha nk ....! Ukilinganisha na mwaka Jana
Au wametusahau tena
hawaja wasahau wanatafuta gia ya kuwapunguza kiainaJamani hivi mbona mwaka huu bodi ya mikopo "heslb" wamechelewa sana kutoa majina ya wanafunzi watakaohitajika kwenda kurekebisha ili kama kuna mapungufu watu wakarekebishe kama kuweka sahihi ,picha nk ....! Ukilinganisha na mwaka Jana
Au wametusahau tena
Duh kumbe hata blue pen haikuruhusiwa
hahahaDuh kumbe hata blue pen haikuruhusiwa
Kwani mmeandikwa condition ya pen? Mmh cjui ila cjaona icho kitu nimejaza tu pen nyeuc coz is my favouriteDuh kumbe hata blue pen haikuruhusiwa
wewe ndoo jifanye hujuiVyama haviusiani na heslb mkuu
Hilo la peni si la kweli hawakuandika popote kwenye ile form na mfano mdogo ni rafiki yangu mwaka jana katumia peni ya blue mwanzo mwisho na mkopo kapata so nani ambaye alikosa mkopo kisa peni ila tu imezoeleka hivo watu kutumia peni nyeusi ila si lazima maana nina mifano ya watu walotumia peni ya blue na mikopo wanayo mkuunani alikuambia ukosee,mfano:unaambiwa tumia black pen unatumia blue,disqualified tayari!
hapa kazi tu hatutaki vi-laza
haya mambo yanachekesha sana eti ukose mkopo kisa wino.....!Hilo la peni si la kweli hawakuandika popote kwenye ile form na mfano mdogo ni rafiki yangu mwaka jana katumia peni ya blue mwanzo mwisho na mkopo kapata so nani ambaye alikosa mkopo kisa peni ila tu imezoeleka hivo watu kutumia peni nyeusi ila si lazima maana nina mifano ya watu walotumia peni ya blue na mikopo wanayo mkuu
Wanazingua hakuna kitu kama hicho kwanza kwenye ule mkataba wenyew tu hakuna hilo neno la penihaya mambo yanachekesha sana eti ukose mkopo kisa wino.....!
haya mambo yanachekesha sana eti ukose mkopo kisa wino.....!