Leo hi bodi ya mikopo elimu ya juu imefungua mtandao kwa ajili ya waombaji waliokosa mkopo kukata rufaa na miongoni mwa vipengele vya kujaza ni mali anazomiliki mwombaji na mahali zilipo
Ivi kweli mtu mwenye mali angehangaika kuomba mkopo wa kazi ipi?

Hakikisha una app ya m-bet, meridian bila kusahau kusave bookmark mkekabet.com Hawa jamaa ni waaminifu sana Pesa yao haichelewi wala haina dodoso haina rufaa, haina priority

Mi nilishakata tamaa diploma hakuna mkopo wakati hata mshahara hautoshi kulipa ada Hubert kairuki wenye diploma sisi ndio mwisho wetu wa elimu tumebugi men