popo1986 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 1,120 Reaction score 373 Nov 9, 2015 #1 Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405
Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405
rashidjumanne Member Joined May 2, 2013 Posts 40 Reaction score 3 Nov 9, 2015 #2 Mambo vp?,nicheki namba hii 0653779235,upate pikipiki unayaipenda wewe ,mfano boxer tsh 1400000tu
leonard mwenda JF-Expert Member Joined Nov 5, 2015 Posts 253 Reaction score 64 Nov 9, 2015 #3 Kuwa specific unapatikana wap na offer yako inaanzia ngap?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,021 Reaction score 126,444 Nov 9, 2015 #4 popo1986 said: Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405 Click to expand... Tangazo Lako Hili Mkuu Limenifanya Nizizuie Pikipiki Zangu Zote Leo ZISITOKE Kwenda Kufanya Kazi Kwani UMESHAWATAFUTIA Balaa Waendesha Pikipiki Na Nina Uhakika Zitaibiwa Nyingi Sana Kuanzia Leo.
popo1986 said: Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405 Click to expand... Tangazo Lako Hili Mkuu Limenifanya Nizizuie Pikipiki Zangu Zote Leo ZISITOKE Kwenda Kufanya Kazi Kwani UMESHAWATAFUTIA Balaa Waendesha Pikipiki Na Nina Uhakika Zitaibiwa Nyingi Sana Kuanzia Leo.
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 930 Reaction score 1,297 Nov 9, 2015 #5 wakuu mi natafuta aina ya fekon, iwe imetumika miez michache, kama unayo nichek faster tufanye biashara. nipo dar. 0717309119-0757950376
wakuu mi natafuta aina ya fekon, iwe imetumika miez michache, kama unayo nichek faster tufanye biashara. nipo dar. 0717309119-0757950376
E ebo complain Member Joined Aug 26, 2014 Posts 9 Reaction score 0 Nov 10, 2015 #6 popo1986 said: Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405 Click to expand... Npo moro...nna boxer kwa mil 1 lak 2 cash
popo1986 said: Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405 Click to expand... Npo moro...nna boxer kwa mil 1 lak 2 cash
gnagna Member Joined Sep 9, 2015 Posts 36 Reaction score 18 Nov 10, 2015 #7 popo1986 said: Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405 Click to expand... Utapata maeneo ya k/koo
popo1986 said: Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405 Click to expand... Utapata maeneo ya k/koo