Bodaboda inahitajika

Bodaboda inahitajika

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405
 
Mambo vp?,nicheki namba hii 0653779235,upate pikipiki unayaipenda wewe ,mfano boxer tsh 1400000tu
 
Wakuu natafuta pikipiki ya kununua ili nifanyie biasha isiwe imechoka sana na iwe boxer au nyingine tuwasiliane 0755103405

Tangazo Lako Hili Mkuu Limenifanya Nizizuie Pikipiki Zangu Zote Leo ZISITOKE Kwenda Kufanya Kazi Kwani UMESHAWATAFUTIA Balaa Waendesha Pikipiki Na Nina Uhakika Zitaibiwa Nyingi Sana Kuanzia Leo.
 
wakuu mi natafuta aina ya fekon, iwe imetumika miez michache, kama unayo nichek faster tufanye biashara. nipo dar. 0717309119-0757950376
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom