wacha kasumba za kijinga unatuita miafrica we mzungu au? Au una ona wazungu wa maana sana? Wapo wazungu wengine wajinga kuliko hata wewe! Pia kifo cha mtu au sababu ya kifo cha mtu anaijua daktari sasa wewe unapotutangazia alikuwa anavuta fegi tuamini ndio zimemuua? Wewe ni daktari hadi u arrive kwenye hiyo conclusion? Wakati wa msiba watu hawapendi kusikia maneno ya kipuuzi kama yako! Binadamu wote ni ndugu zangu hivo hata huyu maadamu ameumbwa na mungu ni ndugu yangu!!